Skip to main content

Featured

Maombolezo: Hii ndiyo Hali Ilivyo Tanzania Bendera Yapepea Nusu Mringoti

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

ACT-Wazalendo kufanya uchaguzi wa viongozi kitaifa Agosti 25

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Ado Shaibu 
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitafanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Agosti 25 mwaka huu jijini Mbeya.
Akizungumza leo Jumapili, Mei 27, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Ado Shaibu amesema uchaguzi wa ngazi za chini unaendelea hivi sasa.
Viongozi wa ACT-Wazalendo waliopo madarakani walichaguliwa mwaka 2015.
Shaibu amesema baadhi ya nafasi za kitaifa zitakazowaniwa ni kiongozi wa chama,mwenyekiti,makamu mwenyekiti na katibu mkuu.
"Tunaomba wanachama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.chama chetu kina demokrasia ya kweli," amesema.
Amesema uchaguzi huo unafanyika ili kujiandaa na chaguzi za kiserikali


Comments