Skip to main content

Featured

Maombolezo: Hii ndiyo Hali Ilivyo Tanzania Bendera Yapepea Nusu Mringoti

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

ALAZWE MAHALI PEMA POPONI MHE. KASUKU BILAGO

Naibu katibu Mkuu Bara Mhe.John Mnyika (Mb) na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Salum Mwalimu wakitoa salamu za heshima kwa Marehemu Mhe.Kasuku Bilago aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu.

Comments

Popular Posts