Skip to main content

Featured

Maombolezo: Hii ndiyo Hali Ilivyo Tanzania Bendera Yapepea Nusu Mringoti

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

Jerry Muro Baada ya kuapishwa Atoa Agizo “Nitawabugudhi, Tanzania na Afrika itajua”


Leo July 31, 2018 Mkuu wa Wilaya mpya wa Arumeru, Jery Muro ameapishwa na RC wa Arusha Mrisho Gambo na baada tu ya kuapishwa ameanza kwa kuwaagiza Wakurugenzi pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ndani ya wiki mbili kuandaa taarifa za 10%ya Mikopo ya Vijana na Wanawake.

VIDEO:


Comments