Skip to main content

Featured

Maombolezo: Hii ndiyo Hali Ilivyo Tanzania Bendera Yapepea Nusu Mringoti

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

Jokate Anaweza Kumweka Pinda Mahabusu na Wakapiga Makofi- Lema


Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitoa majibu baada ya kutakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuripoti kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi kwa kufanya mkutano katika Jimbo lisilo lake nakusema Waziri hana mamalaka hayo kisheria.

Muda mfupi baada ya Zitto kujibu Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema nae akatoa neno kuhusiana na kauli ya Zitto.

Namnukuu Lema “Zitto, Waziri Kange anaweza kuwa hana Mamlaka kisheria lakini nikukumbushe kuwa siku hizi mambo yanaendeshwa kwa mizuka na matamko, kwa bahati mbaya Polisi wameshindwa kushinda jaribu hili. Kwa hali ilivyo sasa Jokate anaweza kumweka Pinda mahabusu na wakapiga makofi” 

Comments