Skip to main content

Featured

Maombolezo: Hii ndiyo Hali Ilivyo Tanzania Bendera Yapepea Nusu Mringoti

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

Dr. Slaa Hawezi Kuwa Shujaa Alikimbia Mapambano Kabla Vita Haijaisha



" Dr. Slaa hawezi kuwa shujaa kwakuwa alikimbia mapambano, yale aliyofanya wakati yuko kwenye chama cha CHADEMA alipaswa kuyafanya maana alikuwa analipwa na chama na chama kilimhudumia kila kitu hivyo ulikuwa wajibu wake kufanya maana alikuwa analipwa na chama" || Ameyasema hayo Sosopi Mwenyekiti BAVICHA

Comments